Cheka Upate Afya
-
https://www.tagged.com/baphrey
GROUP LINAHUSISHA :- 1.Kuvunja na kuvunjika mbavu kwa vichekesho na vituko. 2.maajabu yoyote yale ya kushangaza kuanzia mtaani mpaka dunia nzima. 3.chemsha bongo kwa kuulza au kujibu maswal mbalmbal yakimaisha kukuweka tayar kukabiriana na changamoto za maisha. 4.kujuzwa au kujuza mambo ucyoyajua katika mazngira yanayo kuzunguka na yacyokuzunguka. 5. Taarifa zozote muhimu za kitaifa na kimataifa. 6.habari zozote zinazomuhusu MUNGU kwa dini zote isipokuwa dini ya kishetani. TAHADHARI. 1. Picha na maneno ya matusi hayaruhusiwi. 2.member mwenye nia mbaya ya kuharibu upendo, amani, ushirikiano na ukuaji wa group haruhusiwi kuwepo. SHUKURANI. Group linawapenda wote na linatoa shukurani za dhati kwa wote wenyenia njema na hili group
English
Public
4
1
Forum
| Topic | Posts | Last Post | Started by |
|---|---|---|---|
|
MCHUNGAJI ALITEMBELEA MGONJWA MAHATUTI HOSPITALINI NA KUANZ… |
1 |
Geophrey B
|
Geophrey B
|
|
Mwl. Mnoko - huyu alikuwa akikukuta na kosa ni bakola, haku… |
1 |
Geophrey B
|
Geophrey B
|
|
Mmasai mmoja kaenda mjini na kondoo wake, kufika mjini akaa… |
1 |
Geophrey B
|
Geophrey B
|
|
Jamaa kakutana na sister du kwenye mitandao ya kijamii,yeye… |
1 |
Geophrey B
|
Geophrey B
|
Group Member Levels
- Creator Created this group
- Admin Admins this group
- Master 1,000 Posts and 1,000 Likes
- Advanced 250 Posts and 250 Likes
- Intermediate 100 Posts and 100 Likes
- Beginner 10 Posts and 10 Likes
- Newbie 0 Posts and 0 Likes
